Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

wakati mnakataa posho huku mnatembeza bakuli inakuwaje hii,, UNAFIKI hamna lolote twajuwa lengo lenu bhana
 
Dr. Slaa anaichana tume ya uchaguzi live. jaji Lubuva kesho sijui atajibuje?
 
Naona watu hamuelewi maana ya fund raising si lazima mhusika achangie watu wa mbali wanaweza kuchangia kwa simu hata wewe wa CUF unaweza kuchangia kama unataka.
 
du kumbe tume ilikuwa inataka kuchakachua du safi sana makamanda
 
wakati mnakataa posho huku mnatembeza bakuli inakuwaje hii,, UNAFIKI hamna lolote twajuwa lengo lenu bhana
Kabla hujachangia shughulisha kichwa chako usichangie ilimrimradi vidole vinaweza ku type. Halafu pia epuka kutumia akili za kuambiwa kuchangia kwani hapa inaonyesha umetumia vichwa vya Nape na Mukama kufikiri
 
Mkapa katoa agizo Matokeo yatangazwe CDM wataenda kudai mahakamani siri toka vikao vya CCM
 
Mkapa katoa maagizo eti baada ya uchaguzi wa arumeru matokeo yatangazwe kuwa CCM wameshinda tu na baadae CHADEMA waende mahakamani.
Dr. Slaa anasema CCM ndo watakaoenda mahakamani this time
 
sasa wamekata umeme hapa arusha sijui ni fitna tusichangie chadema? maana magamba presure ipo juu.
 
General Dk Slaa amesema kama kutafanyika uchakachuaji Arumeru basi wajue kutachimbika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…