Namwona wapiBaaaasi baby girl.
Ila unamuona samatta???


sijalipia king'amuzi.Nipo napiga porojo tuu hapa .
Namwona wapiBaaaasi baby girl.
Ila unamuona samatta???


sijalipia king'amuzi.Juhudi za awamu pendwa...Daaah bashite sijui anatumia uchawi gani
Samagoall
Mpira unavutiaa
cute b anajua dua zangu zilivyo na nguvu🤣🤣🤣🤣Duwa zako zimesikilizwa
Teh
Ccm 2 kenya 1
Aki Leo usiondoke uku, nahisi una kanyota wallah;Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Tumerudishaaaa
Hatari sanamatch kali sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo tuu. Mechi ya kwanza nilisaport stars vizuri sana. Ila sasa huyu anasema taifa stars ni UVCCMhaikubaliki.
Wa leo ndo mpira, hakuna kuremba! Ni kupambana tuuLeo tunacheza mpira mzuri mno kama sio sisi tuliocheza na senegal
Betting is not for youAcha hizo dadaaa me nmebet ujue


.Aki Leo usiondoke uku, nahisi una kanyota wallah;







Safiiiiii, huu ushangiliaji ni wa kizalendo haswaGoooooaaaalllllll
Hahaha hahaha hahaha hahahaasante jamani.
Kenya nimewaamini sasa wanani aibisha.
Hamna namna kwa kweliWaooohh,
Ufunge usiku huu![]()
Betting is not for you.
Hebu Kenya wafunge bhana tusije tukafukuzwa huku Kenya.

