Uzalendo umenishinda kwa kweli.Umekushinda uzalendo???
Siwezi kutekeleza ilani ya ccm mimi



Uzalendo umenishinda kwa kweli.Umekushinda uzalendo???



Mkiongeza moja wataishiwa nguvuWaache wapanic ivo ivo ndo dawa ya kuwapiga nyingi
Duuh hatariEeh na maombi yake atasema yamefanya kazi![]()
Directly au indirectly???Uzalendo umenishinda kwa kweli.
Siwezi kutekeleza ilani ya ccm mimi![]()
Hahahhahaahahah sisi kijembe chetu ameahatupiga Leo LeoKesho atawazodoa kina ndugai na wenzake na sie wote kazi tunayo


kwamba kama tunasema chenye uhakika wa kushinda tz ni ccm tuu sasa na stars ni ccm

Ewaaa umeanza kujua mapoint ya kuchangaingia; taratibu taratibu tuMkiongeza moja wataishiwa nguvu
Acha kuwa na roho ya amani vitaniMimi japo nachukia kuweka siasa kwenye timu yetu lkn bado nina karoho ka uzalendo.




Hahaha hahahaEwaaa umeanza kujua mapoint ya kuchangaingia; taratibu taratibu tu
Ngoja tuone hapa lkn kuna kila dalili za kulala kwa taabu wewe leonawaaminia Kenya.
DirectlyDirectly au indirectly???

Vita ni vita muraa; muambie uyoAcha kuwa na roho ya amani vitani![]()
Na iwe hivyoNgoja tuone hapa lkn kuna kila dalili za kulala kwa taabu wewe leo


Yeah watakaa tu leo, tukitoka hapo tnapiga Algeria tunasonga mbeleMkiongeza moja wataishiwa nguvu
Anakuwaje na roho nyepesi kiasi hichoVita ni vita muraa; muambie uyo


. Hapa ni vita mwendo mmojaComputers zetu, barabara zetu, mataa yetu ya barabarani, kila kitu chetu usitumie na fanya uhamie Nairobi.Directly![]()
Ila Mimi nimekuelewa saana yana.Na iwe hivyo![]()