Gamal Sankara
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 301
- 267
Hamna issue.Msianze kiburi, tumewaachia kwa kuwa tulikuwa na mchawi nyumbani tunataka tumkamate ugoni
Hamna issue.Msianze kiburi, tumewaachia kwa kuwa tulikuwa na mchawi nyumbani tunataka tumkamate ugoni
HahahahahHaufai wewe![]()
Nyie ndio mliotufungishaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I was waiting......That's my ....!
Nilivyo mnafkiii, nalaza status whatsup kabisa.Hebu lala basi kesho ukaonyeshe uzalendo







Kabisa. Hamnaga anachofanikisha.The guy is a complete failure
Daah sawa kadada ngoja nikupe ushindi kwa leoHawawezi kunipata. Maana huko duniani namshabikia bashite.![]()
Anaingia ba flight ya usiku saa nane



hataki kupokewa . na wale vijana aliowaandaa?Bora tufungue studio za kurekodi porno tu kwan bongo hamna studio za kisasa za pornoEngineer Michael Olunga. Tanzania fanyeni mziki michezo hamuiwezi
Nahisi unanukia ccm. Baki huko huko tuu.Hahahahahahahahaha.
Jamani jamani
Haki ya nani😫😫😫😫😫Nilivyo mnafkiii, nalaza status whatsup kabisa.
Kwamba " Hongera sana Taifa stars , mmedhubutu. Kwa hatua hiyo nyie ni washindi.... Hongera RC wangu Makonda wewe ni jembee tupo pamoja" hapo na namba ya boss naisave ili aone.
![]()
ndizi ya nini tena usiku kama huu au ndo inasaidia kukunaniii
Yaani na hata sijui hajifunzagi?Kabisa. Hamnaga anachofanikisha.
Unajua mimi na wewe hatutakiwi kuongelea Mpira. RememberUnipe siri ya mambo haya puliiiiz



