Harambee na michango nyumba za ibada zimeishia wapi?

pia mtatiro alipo lindwa na polisi ili aingie ofisi kwakwe aliwasifu na kusema ni haki yake kupata ulinzi kutoka kwa polisi.
lakini walipo mlinda lipumba alisema polisi wanatumika
Kada ukiwa mpinzani kuna akii fulani huwa zina hama kabisa
 
mwendelezo wa matumizi ya nyumba za ibada kufanya siasa. shame.
 
Mirija imekatwa.Yale mamilioni yaliyokua yanagaiwa kanisani kutoka kwa "marafiki zake" sa hivi holaaaaa.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 

Kinara wake ni Lowasssa, vibaraka wake watatoa majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…