Spear
JF-Expert Member
- Jun 21, 2008
- 507
- 32
Ukiangalia kwa haraka utagunduwa Harambe za lowassa zimewashituwa wengi ambao hawapo upande wake michango yake ni mikubwa mmno, hotuba zake zina makali kwa CCm na serekali yake na ndio hapo Rais akaona ipo haja na yeye awakutaniche watu ambao anaimani watakuwa pamoja nae kumunga mkono (iliyopita si ndwele ndwele ijayo)