saidi kindole
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 310
- 792
Harakati za Kamati kuu ya CHADEMA kumuondoa ZITTO kweneye Uongozi imeleta WANACHAMA wangapi wapya?
Harakati za Kamati kuu ya CHADEMA kumuondoa ZITTO kweneye Uongozi imeleta WANACHAMA wangapi wapya?
Wana jf
hivi bwana zitto katika hizi harakati zake za mikutano anayofanya kigoma je ameingiza wanachama wangapi kukijenga chama chake anachodai anakipenda? Mnijuze kwa wale waliokuwepo katika mikutano yake alioifanya.
furaha yako nini hapo?? ukweli uliopo nao utaondoka??Zitto atafukuzwa tu na tutamsahau kama alikuepo mtu kama yeye. Over.
Taarifa rasmi zilizowasilishwa makao makuu pale Ufipa ni kwamba mikutano yake iliingiza wanachama wapya kama ifuatavyo:-
(i) Mwandiga: -23
(ii) Kasulu: -24
(iii) Kibondo: -17
(iv) Kakonko: -8
(v) Kigoma Mjini: -12
Jumla: -84. Hiyo ndio idadi ya wanachama wapya ambao Mh. alikiingizia Chama ukilinganisha na ile ya Katibu Mkuu kwa Mkoa wa Kigoma ambayo inafikia 589.
Namjibu Truth Matters,hawawezi kujibu hili, wala hawakuliona hili wakati wanafanya maamuzi, wamemwaga ugali huyu kamwaga mchuzi analaumiwa aliyemwaga mchuzi
muanzisha thread is one little stupid
Na mimi niliuliza swali hili humu humu juzi sijapata jibu. Tuliona foleni watu wakisubili kadi pale Tabora, sijuhi huko Kigoma ndugu Zitto amepata wanachama wapya wangapi?