Harakati za Zitto na mikutano yake ya sasa Kigoma zimekiingizia chama wanachama wangapi?

Status
Not open for further replies.

saidi kindole

JF-Expert Member
Sep 21, 2012
301
1,000
Wana jf
hivi bwana zitto katika hizi harakati zake za mikutano anayofanya kigoma je ameingiza wanachama wangapi kukijenga chama chake anachodai anakipenda? Mnijuze kwa wale waliokuwepo katika mikutano yake alioifanya.
 
kanta

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
343
195
Hili ni swali zuri sana,kwa kuwa tunasikia na kuona kuwa amepokelewa na umati mkubwa but hili swali watu wengi wamelisahau,ziara yake ina manufaa gani kwa chama?Au yupo ki ubinafsi zaidi?Ameleta wanachama wangapi?
 
Abdillahjr

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
694
0
Mkuu,Zitto anafanya vitu viwili,1) harakati za kuitisha KK ya CHADEMA na 22) maandalizi ya kuhamia NCCR- MAGEUZI baada ya kufutwa uanachama,tambua Mbatia hakupewa ubunge tu hivi hivi bali ni shukrani na maandalizi ya 2015,we will see!!
 
Kagalala

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
2,404
2,000
Na mimi niliuliza swali hili humu humu juzi sijapata jibu. Tuliona foleni watu wakisubili kadi pale Tabora, sijuhi huko Kigoma ndugu Zitto amepata wanachama wapya wangapi?
 
kikule

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
217
225
ungeuliza ktk harakati zake hizo amepata wajinga wanaomshobokea ndo ungepata jibu lakn swali likibaki hivo jibu halipo
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,060
2,000
Taarifa rasmi zilizowasilishwa makao makuu pale Ufipa ni kwamba mikutano yake iliingiza wanachama wapya kama ifuatavyo:-

(i) Mwandiga: -23
(ii) Kasulu: -24
(iii) Kibondo: -17
(iv) Kakonko: -8
(v) Kigoma Mjini: -12

Jumla: -84. Hiyo ndio idadi ya wanachama wapya ambao Mh. alikiingizia Chama ukilinganisha na ile ya Katibu Mkuu kwa Mkoa wa Kigoma ambayo inafikia 589.
 
Truth Matters

JF-Expert Member
Apr 12, 2013
1,212
2,000
Harakati za Kamati kuu ya CHADEMA kumuondoa ZITTO kweneye Uongozi imeleta WANACHAMA wangapi wapya?
 
Songoro

JF-Expert Member
May 27, 2009
4,125
0
Slaa akizunguka kumshambulia Zitto ni kujenga Chama ila Zitto akizunguka kujibu Mashambulizi ni kubomoa Chama. ...What is the meaning of 'CHAMA'?
 
simbilisi

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
792
0
Harakati za Kamati kuu ya CHADEMA kumuondoa ZITTO kweneye Uongozi imeleta WANACHAMA wangapi wapya?

hawawezi kujibu hili, wala hawakuliona hili wakati wanafanya maamuzi, wamemwaga ugali huyu kamwaga mchuzi analaumiwa aliyemwaga mchuzi

muanzisha thread is one little stupid
 
bily

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
8,035
2,000
Zitto atafukuzwa tu na tutamsahau kama alikuepo mtu kama yeye. Over.
 
simbilisi

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
792
0
Wana jf
hivi bwana zitto katika hizi harakati zake za mikutano anayofanya kigoma je ameingiza wanachama wangapi kukijenga chama chake anachodai anakipenda? Mnijuze kwa wale waliokuwepo katika mikutano yake alioifanya.

inategemea lengo lake lilikuwa nini??

kwani Mbowe alivyojilipua Dubai na mtoto wa kike waliingiza wanachama wangapi?? unataka kusema Mbowe hakipendi chadema??
 
Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,817
2,000
Taarifa rasmi zilizowasilishwa makao makuu pale Ufipa ni kwamba mikutano yake iliingiza wanachama wapya kama ifuatavyo:-

(i) Mwandiga: -23
(ii) Kasulu: -24
(iii) Kibondo: -17
(iv) Kakonko: -8
(v) Kigoma Mjini: -12

Jumla: -84. Hiyo ndio idadi ya wanachama wapya ambao Mh. alikiingizia Chama ukilinganisha na ile ya Katibu Mkuu kwa Mkoa wa Kigoma ambayo inafikia 589.

Mkuu dudus,-84 una maana Negative 84.
Una maana kuwa huyu Msaliti kazidi kupoteza wanachama wa CHADEMA tukitafsri kwa Lugha ya ki Hisabati??
Huyu jamaa ni zaid ya Janga aisee
 
Last edited by a moderator:

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,855
2,000
hawawezi kujibu hili, wala hawakuliona hili wakati wanafanya maamuzi, wamemwaga ugali huyu kamwaga mchuzi analaumiwa aliyemwaga mchuzi

muanzisha thread is one little stupid
Namjibu Truth Matters,
Kamati Kuu ya CHADEMA haikufanya mikutano, ilifanya uamuzi. Zitto kafanya mikutano na ndio hasa msingi wa mleta mada kuwa hiyo mikutano yake imeingiza wanachama wapya wangapi?

Huwezi kukwepa swali la mleta mada kwa kuuliza swali dhaifu na lisilo na mashiko kama hilo, kwani haviaendani.

Pia kwa taarifa yenu, ziara ya Dr. Slaa Kigoma ilizaa wanachama wapya zaidi ya 500! Hivyo toeni majibu mikutano ya Zitto imezaa wanachama wapya wangapi????
 
ChiefmTz

JF-Expert Member
Apr 15, 2008
2,831
2,000
Na mimi niliuliza swali hili humu humu juzi sijapata jibu. Tuliona foleni watu wakisubili kadi pale Tabora, sijuhi huko Kigoma ndugu Zitto amepata wanachama wapya wangapi?

Hivi mtu anayepigania roho yake anaweza kumuokoa mtu?
 
Mr.Mak

JF-Expert Member
Feb 23, 2011
2,834
2,000
Wana jf
hivi bwana zitto katika hizi harakati zake za mikutano anayofanya kigoma je ameingiza wanachama wangapi kukijenga chama chake anachodai anakipenda? Mnijuze kwa wale waliokuwepo katika mikutano yake alioifanya.

Mbona umeanzia mbele sana,anza kwa slaa, je slaa toka aanze hizo ziara zake kule kigoma mjini,mwandiga kasulu etc alipata wanachama wangapi wapya?
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom