Tunasogea tena vizuri tu, kikubwa zaidi utaifa unaimarka sana. Tukimalizana vyema na wazanzibar Tz itakua sana. Vuta picha ya Tanzania ilivyoachwa na mkoloni, kumbuka Tz ilikuwa under trustship tu kwa Mwingereza, hivyo tangu 1918 1961 Tanzania ilitulia tuli bila uwekezaji wenye mantiki, Kenya na Uganda zikawa zinaendelezwa, shule, viwanda na uwekezaji mwingine uliendelea ktk nchi hizo. Tumekimbia sana kuwakuta hata kuwatishia kuwapita tumejitaidi sana. Yapo mapungufu kiasi, tungekuwa mbali zaidi, pamoja na kuwepo na sababu za ndani ila za nje zilikuwa kubwa zaidi kuua ujamaa wetu.Kwahyo icho ndio kimetufanya watz kua poor? Uzi harakat zote lazima zilitumia fedha as ndani....kuna sehemu nchi hii bado hamna umeme na barabara zauhakika....tunasogea kweli au tunajifariji?
So sending Mkapa for two days to Kenya is regarded as an achievement? What if you had sent some billions of dollars, you would be demanding respect
Nah, the only person who did anything worth of mention is Koffi Annan, the others were joyriders but i dont blame you. I have seen reports of how Tanzania helped liberate Kenya from colonialism; crap.What regarded as an achievement is: bloodshed was stopped. In my honest opinion, that was more than some billions of dollars.
Soma Historia yako vizuri. Je hujui rais wako wa kwanza yaani Kenyatta alikuwa maefungwa gerezani na wazungu? Je unajua alitoka huko gerezani alitokaje? Nijibu maswali hayo mawili ndio utajua THE POWER OF TANZANIA.Nah, the only person who did anything worth of mention is Koffi Annan, the others were joyriders but i dont blame you. I have seen reports of how Tanzania helped liberate Kenya from colonialism; crap.
Usikimbie swali langu. Nimekuuliza aliyemtoa Kenyatta gerezani ni nani? Usikwepe swali na kurukia mau mau. Wewe unajua kwanini tanzania ilikuwa inasubiria kenya zipate uhuru pamoja na tanzania. Wewe kama hujui historia ya nchi yako waulize wakubwa wako.Eveything revolves around Nyerere whom you have made a deity; he had nothing to do with our independence. Better Haille Selassie who provided support to Mau Mau
Da nimeipenda hii video=>MOZAMBIQUE
Katika harakati za kuwaondoa wareno na kuweka viongozi wanaofaa. Tanzania ilihakikisha nchi ya msumbiji inakaa kwa amani na kutulia. Makao makuu ya chama cha FRELIMO yalikuwa Dar es Salaam Tanzania.
Mozambican Civil War - Wikipedia
Msiione Tanzania hivi hivi imeundwa.
I am not a conspiracy theorist so i do not need to answer the question your way, Nyerere alimtoa aje Kenyatta na sio yeye alikuwa amemfunga? if Tanzania was advocating for Kenya's independence why did they get its independence before Kenya then? Separate the real issues with PropagandaUsikimbie swali langu. Nimekuuliza aliyemtoa Kenyatta gerezani ni nani? Usikwepe swali na kurukia mau mau. Wewe unajua kwanini tanzania ilikuwa inasubiria kenya zipate uhuru pamoja na tanzania. Wewe kama hujui historia ya nchi yako waulize wakubwa wako.
The state of emergency was ended on January 12th, 1960 but Kenyatta’s restriction and the detention of many others was continued. To ensure that KADU formed the government, Ngala and some of his colleagues were enticed by the Governor Sir Michael Blundell to cross over to KADU and with the formation of several nominated seats, an unrepresentative government was formed.
KANU continued to excite crowds around the country, agitating for the release of Jomo Kenyatta. Passions ran high and the colonial government, unsure of the outcome moved Kenyatta from Lodwar to Maralal. In a bid to massage Ngala’s ego an operation by the name “Miltown” was mounted, which led to the arrest of “over a hundred persons” who were detained without trial for supposedly endangering the life of Ronald Ngala.
Agitation of Jomo Kenyatta’s release continued, eventually bearing fruit on 15th August 1961 when he was transferred to his home in Kiambu. His detention was officially revoked on Tuesday, August 21st at 9 am. This opened a floodgate of visitors from all walks of life, by any means possible much the chagrin of the colonial administration which had implied that he was too old, perhaps even senile to lead an independent nation. Kenyatta's eloquent speeches left no doubt that he was indeed in tune with national and International issues of the time. In the meantime, the government continued with its futile attempts to flatter KADU members besides fuelling animosities between the so-called small tribes and big tribes.
Mbona unakimbia swali dogo sana. Ilibidi tanzania tupate uhuru kwanza kisha nyerere kama kiongozi aweze kuisaidia kenya. Kenyatta alitembea siku kadhaa kuja kushuhudia uhuru wa Tanganyika. Ndio mikakati ya kumsaidia ilianzia hapo akiwa chini ya nyerere. Aliambiwa atafute uhuru ki diplomacia sio kwa njia ya MAU MAU. Hayo wewe huyajui.I am not a conspiracy theorist so i do not need to answer the question your way, Nyerere alimtoa aje Kenyatta na sio yeye alikuwa amemfunga? if Tanzania was advocating for Kenya's independence why did they get its independence before Kenya then? Separate the real issues with Propaganda