Harakati za uchumi wa Tanzania (Movement of Tanzania's economy)


Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Likes
15,111
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 15,111 280
Nawasalimia wana JF.
Kuna mwana JF mwenzetu anaitwa Depay Huyu mwenzetu huenda haifahamu vizuri Tanzania.
Leo nimedhamulia kuongelea harakati za tanzania katika kuendeleza uchumi wake.

Nitaanza kwa historia fupi ya Tanzania huku nikidokoa dokoa vitu vichache vichache kuhusu ukombozi wa bara la Africa ili kuhakikisha kwamba majirani zetu wametulia ilituweze kujiendeleza kiuchumi.

Katika thread hii nitaeleza hatua kuu mbili za mpango huu kabambe wa Tanzania kuhakikisha imejikwamua kiuchumi:
 • Ukombozi na Kusaidia nchi za Africa Hususani Nchi Jirani
 • Mipango kabambe ya Kujikwamua kiuchumi
Ukombozi na Kusaidia nchi za Africa Hususani Nchi Jirani

=>KENYA
Tanzania imeisaidia mambo mengi sana kenya. Lakini nitaongelea jambo moja ambalo lilitokea miaka ya 2007/2008. Rais wa Tanzania wakati ule JK alihakikisha nchi ya Jirani inakuwa na amani.
2007–08 Kenyan crisis - Wikipedia

Jakaya Kikwete, the President of Tanzania and Chairman of the African Union, arrived in Kenya on February 27, to assist in the talks. On the same day, Odinga said that the ODM had decided not to resume protests as planned on February 28, expressing continued commitment to the talks.[114]

=>UGANDA
Nchi ya Tanzania ili iweze kujikwamua kiuchumi lazima majirani waondokani na unyanyaswaji na unyama. Nduli Idd Amin Dadaa aliwatesa sana waganda kiasi cha kuitishia Tanzania. Wakati ule kijana Yoweri Museven alipata mafunzo hapa Tanzania. Na baada ya Nduli kuondolewa Uganda imekuwa na Utulivu na viongozi wamesimaia utu.
Uganda–Tanzania War - Wikipedia

Yoweri Museveni - Wikipedia

=>RWANDA
Baada ya kuzuka mgogoro ndani ya nchi ya rwanda. Kimbilio la Wanyarwanda lilikuwa ni Tanzania. Tanzania imehakikisha mgogoro huo unaisha. Kagame alipata mafunzo Tanzania. Sasa hivi Rwanda inaishi kwa amani.

Paul Kagame - Wikipedia

In 1978, Fred Rwigyema returned to western Uganda and reunited with Kagame.[18] During his absence, Rwigyema had joined the rebel army of Yoweri Museveni. Based in Tanzania, it aimed to overthrow the Ugandan government of Idi Amin.[18] Rwigyema returned to Tanzania and fought in the 1979 war during which Museveni's army, allied with the Tanzanian army and other Ugandan exiles, defeated Amin.[19] After Amin's defeat, inspired by Rwigyema, Kagame and other Rwandan refugees pledged allegiance to Museveni, a cabinet member in the transition government.[20] Kagame travelled to Tanzania where the Tanzanian government, which sought to protect the new Ugandan regime, trained him as a spy.[21]

=>CONGO
Baada ya mateso ya wakongomani na nchi yao kubadilishwa jina kuwa Zaire na Mobutu sese seko. Tanzania ilihakikisha Congo inalindwa na kuondokana na Unyama wa kiongozi muuaji.

Mobutu Sese Seko - Wikipedia

Laurent-Désiré Kabila - Wikipedia

Joseph Kabila - Wikipedia

Naomba nitaendelea kutoa kimoja baada ya kingine.
Nitaendelea...
 
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Likes
15,111
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 15,111 280
=>BURUNDI
Warundi wameona kimbilio lao kuu ni Tanzania hakuna sehemu wanaweza kwenda na kukaa vizuri na kuonekana wanalindwa. Tanzania imesaidia kiasi kikubwa sana nchi ya burundi.

Burundi - Wikipedia
 
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Likes
15,111
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 15,111 280
=>MOZAMBIQUE
Katika harakati za kuwaondoa wareno na kuweka viongozi wanaofaa. Tanzania ilihakikisha nchi ya msumbiji inakaa kwa amani na kutulia. Makao makuu ya chama cha FRELIMO yalikuwa Dar es Salaam Tanzania.
Mozambican Civil War - Wikipedia

Msiione Tanzania hivi hivi imeundwa.
 
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Likes
15,111
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 15,111 280
Baada ya kuongea ndo ndo ndo hizo. Ngoja sasa nihamie upande wa pili kuhusu mipango kabambe ya maendeleo endelevu ya Taifa la Tanzania.
Katika maendeleo endelevu ya Taifa la Tanzania yamegawanyika katika vipengere kadhaa:-
 1. Kuwaunganisha wananchi wa Tanzania
 2. Kuhakikisha ulinzi na usalama wa Taifa
 3. Mipango kabambe ya miundo mbinu
 4. Harakati za kujikomboa kiuchumi na kusimamia maslahi ya Taifa
Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Alifanya kazi kubwa sana katika kuhakikisha raia wa Tanzania wanakuwa wamoja. Ubaguzi wa kikabila, Kikanda, Rangi, Dini nk. Vilipigwa vita kwa nguvu zote. Ili kuhakikisha kwamba mgawanyiko wa kikabila unakufa alihakikisha nchi inaungwanishwa kwa lugha moja ya kiswahili. Viongozi mbalimbali walipelekwa kila kona ya nchi bila kujari kabila lake au rangi yake.

Hakika baba wa Taifa la Tanzania aliweza kufanikiwa katika jambo hilo. Siasa ya ujamaa ili jali utu na hii inadhihilika kutokana na ahadi kumi za mwana TANU:-
 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja.
 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote.
 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
 4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa.
 5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
 6. Nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa faida ya wote.
 7. Nitashirikiana na wenzangu wote kuijenga nchi yetu.
 8. Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
 9. Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa TANU na raia mwema wa Tanganyika (sasa Tanzania) na Afrika.
 10. Nitakuwa mtiifu na mwaminifu kwa Rais wa Serikali ya Tanganyika (sasa Tanzania).
Hizo zote zilifanya wananchi wa Tanzania kuwa wamoja na kuhakikisha maadui toka nje wanashindwa kuingilia nchi ya Tanzania.

Nitaendelea.....
 
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Likes
15,111
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 15,111 280
Baada ya kuhakikisha majirani wako salama. Tanzania imeanza na taratibu za kuhakikisha miundombinu ya kiuchumi inatengenezwa:-
 1. Barabara
 2. Maji
 3. Umeme
 4. Reli
 5. nk
Tanzania inahakikisha kwamba kona zote za nchi zinaunganishwa. Kila mkoa umewekewa uwekezaji wa namna yake.
Hii ni kuhakikisha uchumi unasambaa kwa pamoja nchi nzima.
Baada ya maelezo haya nitaonesha sasa harakati za kiuchumi za nchi ya tanzania.
 
tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Messages
8,972
Likes
6,336
Points
280
Age
28
tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2016
8,972 6,336 280
Kwahyo icho ndio kimetufanya watz kua poor? Uzi harakat zote lazima zilitumia fedha as ndani....kuna sehemu nchi hii bado hamna umeme na barabara zauhakika....tunasogea kweli au tunajifariji?
 
ArD67

ArD67

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2016
Messages
2,799
Likes
1,950
Points
280
Age
36
ArD67

ArD67

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2016
2,799 1,950 280
Kwahyo icho ndio kimetufanya watz kua poor? Uzi harakat zote lazima zilitumia fedha as ndani....kuna sehemu nchi hii bado hamna umeme na barabara zauhakika....tunasogea kweli au tunajifariji?
Tunasogea tena vizuri tu, kikubwa zaidi utaifa unaimarka sana. Tukimalizana vyema na wazanzibar Tz itakua sana. Vuta picha ya Tanzania ilivyoachwa na mkoloni, kumbuka Tz ilikuwa under trustship tu kwa Mwingereza, hivyo tangu 1918 1961 Tanzania ilitulia tuli bila uwekezaji wenye mantiki, Kenya na Uganda zikawa zinaendelezwa, shule, viwanda na uwekezaji mwingine uliendelea ktk nchi hizo. Tumekimbia sana kuwakuta hata kuwatishia kuwapita tumejitaidi sana. Yapo mapungufu kiasi, tungekuwa mbali zaidi, pamoja na kuwepo na sababu za ndani ila za nje zilikuwa kubwa zaidi kuua ujamaa wetu.
 
Dhuks

Dhuks

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
1,580
Likes
430
Points
180
Dhuks

Dhuks

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2012
1,580 430 180
So sending Mkapa for two days to Kenya is regarded as an achievement? What if you had sent some billions of dollars, you would be demanding respect
 
P

Penguine

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2009
Messages
1,290
Likes
464
Points
180
P

Penguine

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2009
1,290 464 180
Annael umejitahidi sana kufanya propaganda ya ushawishi wa ukombozi na uchumi.

Maneno yako ni kama vile yanatembea zaidi kwenye yaliyotendeka na siyo kwamba yaliyotendeka yalitembea kwenye maneno yako.

Yaani, Umeuunda Mkakati kutokana na mambo yaliyotendeka kuliko kwamba yaliyotendeka yalikuwa ni utekelezaji wa Mkakati unaojaribu kuueleza. Lkn hata ingekuwa hivyo, diplomasia ya uchumi haiko linear kama hivyo. Wakati mwingine, majirani wakikosa utulivu ndiyo biashara kwako hasa ukiimarisha ulinzi na usalama kwako na ukawa na bidhaa za kuzi-supply kwa waliokosa utulivu.

Inapendeza kuwa na watu ktk mfumo wanaojaribu kuuridhisha umma kwa hoja hata kama mantiki ya hoja inakamatiwa kwa mbaaaaaaaali. I like your inteligent propaganda.

Annael, hizo video clip zimenikumbusha mbali sana. Pls, PM me kama zipo nyingi hasa zile za ukombozi. eg. Mwl JK alipokuwa akikutana na viongozi wenzie ktk harakati za ukombozi.

Viva TZ Viva.
 
Uhuru n Umoja

Uhuru n Umoja

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2016
Messages
511
Likes
454
Points
80
Uhuru n Umoja

Uhuru n Umoja

JF-Expert Member
Joined May 25, 2016
511 454 80
So sending Mkapa for two days to Kenya is regarded as an achievement? What if you had sent some billions of dollars, you would be demanding respect
What regarded as an achievement is: bloodshed was stopped. In my honest opinion, that was more than some billions of dollars.
 
Dhuks

Dhuks

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
1,580
Likes
430
Points
180
Dhuks

Dhuks

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2012
1,580 430 180
What regarded as an achievement is: bloodshed was stopped. In my honest opinion, that was more than some billions of dollars.
Nah, the only person who did anything worth of mention is Koffi Annan, the others were joyriders but i dont blame you. I have seen reports of how Tanzania helped liberate Kenya from colonialism; crap.
 
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Likes
15,111
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 15,111 280
Nah, the only person who did anything worth of mention is Koffi Annan, the others were joyriders but i dont blame you. I have seen reports of how Tanzania helped liberate Kenya from colonialism; crap.
Soma Historia yako vizuri. Je hujui rais wako wa kwanza yaani Kenyatta alikuwa maefungwa gerezani na wazungu? Je unajua alitoka huko gerezani alitokaje? Nijibu maswali hayo mawili ndio utajua THE POWER OF TANZANIA.
 
Dhuks

Dhuks

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
1,580
Likes
430
Points
180
Dhuks

Dhuks

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2012
1,580 430 180
I know Kenya's history and i am not prepared to be fed conspiracy theories from neo-narcissists
 
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Likes
15,111
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 15,111 280
I know Kenya's history and i am not prepared to be fed conspiracy theories from neo-narcissists
Ni jambo dogo tu. Elezea ilikuwaje Kenyatta akatoka jera? Wewe hujui kuwa alisaidiwa na Nyerere? Au kwenye historia yenu mmeficha?
 
Dhuks

Dhuks

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
1,580
Likes
430
Points
180
Dhuks

Dhuks

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2012
1,580 430 180
Eveything revolves around Nyerere whom you have made a deity; he had nothing to do with our independence. Better Haille Selassie who provided support to Mau Mau
 
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Likes
15,111
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 15,111 280
Eveything revolves around Nyerere whom you have made a deity; he had nothing to do with our independence. Better Haille Selassie who provided support to Mau Mau
Usikimbie swali langu. Nimekuuliza aliyemtoa Kenyatta gerezani ni nani? Usikwepe swali na kurukia mau mau. Wewe unajua kwanini tanzania ilikuwa inasubiria kenya zipate uhuru pamoja na tanzania. Wewe kama hujui historia ya nchi yako waulize wakubwa wako.
 
Y

yamindinda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Messages
1,506
Likes
1,133
Points
280
Age
34
Y

yamindinda

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2011
1,506 1,133 280
=>MOZAMBIQUE
Katika harakati za kuwaondoa wareno na kuweka viongozi wanaofaa. Tanzania ilihakikisha nchi ya msumbiji inakaa kwa amani na kutulia. Makao makuu ya chama cha FRELIMO yalikuwa Dar es Salaam Tanzania.
Mozambican Civil War - Wikipedia

Msiione Tanzania hivi hivi imeundwa.
Da nimeipenda hii video
 
Dhuks

Dhuks

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
1,580
Likes
430
Points
180
Dhuks

Dhuks

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2012
1,580 430 180
Usikimbie swali langu. Nimekuuliza aliyemtoa Kenyatta gerezani ni nani? Usikwepe swali na kurukia mau mau. Wewe unajua kwanini tanzania ilikuwa inasubiria kenya zipate uhuru pamoja na tanzania. Wewe kama hujui historia ya nchi yako waulize wakubwa wako.
I am not a conspiracy theorist so i do not need to answer the question your way, Nyerere alimtoa aje Kenyatta na sio yeye alikuwa amemfunga? if Tanzania was advocating for Kenya's independence why did they get its independence before Kenya then? Separate the real issues with Propaganda
The state of emergency was ended on January 12th, 1960 but Kenyatta’s restriction and the detention of many others was continued. To ensure that KADU formed the government, Ngala and some of his colleagues were enticed by the Governor Sir Michael Blundell to cross over to KADU and with the formation of several nominated seats, an unrepresentative government was formed.

KANU continued to excite crowds around the country, agitating for the release of Jomo Kenyatta. Passions ran high and the colonial government, unsure of the outcome moved Kenyatta from Lodwar to Maralal. In a bid to massage Ngala’s ego an operation by the name “Miltown” was mounted, which led to the arrest of “over a hundred persons” who were detained without trial for supposedly endangering the life of Ronald Ngala.

Agitation of Jomo Kenyatta’s release continued, eventually bearing fruit on 15th August 1961 when he was transferred to his home in Kiambu. His detention was officially revoked on Tuesday, August 21st at 9 am. This opened a floodgate of visitors from all walks of life, by any means possible much the chagrin of the colonial administration which had implied that he was too old, perhaps even senile to lead an independent nation. Kenyatta's eloquent speeches left no doubt that he was indeed in tune with national and International issues of the time. In the meantime, the government continued with its futile attempts to flatter KADU members besides fuelling animosities between the so-called small tribes and big tribes.
 
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Likes
15,111
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 15,111 280
I am not a conspiracy theorist so i do not need to answer the question your way, Nyerere alimtoa aje Kenyatta na sio yeye alikuwa amemfunga? if Tanzania was advocating for Kenya's independence why did they get its independence before Kenya then? Separate the real issues with Propaganda
Mbona unakimbia swali dogo sana. Ilibidi tanzania tupate uhuru kwanza kisha nyerere kama kiongozi aweze kuisaidia kenya. Kenyatta alitembea siku kadhaa kuja kushuhudia uhuru wa Tanganyika. Ndio mikakati ya kumsaidia ilianzia hapo akiwa chini ya nyerere. Aliambiwa atafute uhuru ki diplomacia sio kwa njia ya MAU MAU. Hayo wewe huyajui.
 

Forum statistics

Threads 1,273,525
Members 490,428
Posts 30,484,172