Harakati za ndugu Ali Hapi si za kizalendo

Nchi hii tunakosea sana..vijana km wakina happy walibidi wapate experience kwanza. Haiwezekani mtu ambaye not well vetted anakuwa Mkurugenzi au DC..hawa wakina makonda,gumbo, hapi sijui km wanajua mh.rais anataka nini.
Zamani mkuu wa wilaya anakuwa anadeserve kweli. Hatukatai vijana kupewa majukumu makubwa lakini tunataka vijana wanaoweza..

Badala ya vijana kutupeleka mbele zaidi na kuja na fikra mpya wao ndo mnaleta mambo ya kijima zaidi.
 
Nchi hii tunakosea sana..vijana km wakina happy walibidi wapate experience kwanza. Haiwezekani mtu ambaye not well vetted anakuwa Mkurugenzi au DC..hawa wakina makonda,gumbo, hapi sijui km wanajua mh.rais anataka nini.
Zamani mkuu wa wilaya anakuwa anadeserve kweli. Hatukatai vijana kupewa majukumu makubwa lakini tunataka vijana wanaoweza..

Badala ya vijana kutupeleka mbele zaidi na kuja na fikra mpya wao ndo mnaleta mambo ya kijima zaidi. Vijana mnakuwa wakina wa fikra.
Ndugu, Tuko Pamoja Kweli?
 
Back
Top Bottom