Harakati za mtu mweusi

Harakati za mtu mweusi

Koffi Annan

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2018
Posts
2,258
Reaction score
6,694
Leo jioni nikiwa natoka kwenye harakati za mtu mweusi njiani kuna mama alikua anauza maharage mabichi yaliyomenywa, nikasema ngoja nisapoti family business kwani mama yangu kule kijijini anafanya biashara kama hizo..

nikampa buku mbili akanipa maharage yangu nikasema Sir god asante mawazo ya leo kuhusu kula yametamatika, na final product ikawa ndio hii hapa

Nikaona nipige picha nilete JF watu wapoze njaa wana comment tokea asubuhi


144615.jpg


Asanteni kwa kushiriki

144628.jpg
 
Back
Top Bottom