Kwa namna sakata linavyoenda, kamanda Sirro, waziri wa mambo ya ndani na IGP Mangu watapaswa kujiuzuru ili kufanikisha nia na dhamira njema ya RC Makonda.
Wachambuzi wa mambo wanadai kama hawa watu wataendelea na nafasi zao ni dhahiri watalifunika sakata hili ili lisiendelee kuwatia aibu. Kwann? Kama makonda anaweza kupewa taarifa na watu ama idara wanazo ziongoza bila shaka nao walikuwa na taarifa hzo. kwann walikaa nazo? kwann hawakuwachukulia hatua watu na askari hao? kwa maslahi gani?
kama wataendelea na nafasi zao hawawezi kuathiri uchunguzi kwa kutoa maagizo maalumu kwa wanaochunguza?
kuna wasiwasi mkubwa kuwa huenda watuhumiwa wengi wakasafishwa na mambo kurejea kama kawaida, halafu makonda akaonekana mnoko.
tumeanza kuona viashiria kwa waziri nape anaonekana kutocheza mziki wa makonda. lkn pia ukimya wa waziri mwigulu unatia shaka sana.
kamanda wa operesheni ya madawa ya kulevya naye kimya. hapa kuna kusafishana baadaye na watu kuombwa radhi.
TIME WILL TELL, TUSUBIRI