Hayo ni mawazo yao au wanatumiwa ....
Nimebahatika kuhudhuria mikutano ya Jumuia ya kiislam ya Uamsho inayofanyika kwa kasi visiwani Zanzibar
1)Mkutano uliofanyika Makunduchi kusini Unguja. Mwitikio ulikuwa mkubwa . umati wa watu walifurika.Magari kutoka Mjini yalikuwa mengi sana
2)Mkutano wa Uwanja wa Lumumba hivi Karibuni. Huu naufananisha na mkutano wa vyamavya siasa. yaani Umati ulikuwa mubwa. mwitikio ulikuwa mkubwa sana. uwanja huu unaweza kuufananisha na uwanja wa Jangwani Dar.Uwanja huo ulijaa mpaka wengine kukosa nafasi
3)Viwanja vya sebleni jumamosi iliopita. mwitikio ulikuwa Mkubwa sana
WANACHOAMBIA WAZANZIBAR
1)Zanzibar inanyonywa na wazanzibar wajitoe kwa hali na mali kuilinda nchi yao.
2)Zanzibar ijitoe katika Muungano
3)Wanamlaumu Mwalimu Nyerere kwa kuimeza Zanzibar
baadhi ya Umati wa wasikilizji
Sasa hawa watu wanaohesabika wewe ndio unaita umati!!....hivi unavifahamu kweli viwanja vya Jangwani? mimi kwa umakini kabisa hapo naona ni uwani kwa mtu, na waliopo hapo mwenye elimu ya juu kabisa ni darasa la 6.
WANAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO NI 90% YA WAZANZIBARI WAKISAIDIWA NA VYAMA VYA JUMUIYA YA KIISLAM KWA KUCHAMBULIWA HISTORIA YA ZANZIBAR TOKEA KABLA YA KUFANYA MUUNGANO NA TANGANYIKA...KWA SABABU SHULENI WAZANZIBARI WALIDANGANYWA KUHUSU HISTORIA YA NCHI YAOkumbe wanaotaka kuuvunja muungano ni jumuiya ya dini ya kiislamu.
sasa hawa watu wanaohesabika wewe ndio unaita umati!!....hivi unavifahamu kweli viwanja vya jangwani? Mimi kwa umakini kabisa hapo naona ni uwani kwa mtu, na waliopo hapo mwenye elimu ya juu kabisa ni darasa la 6.