Happybirthday to me!

Happy Birthday yangu ikufikie huko uliko na Mungu akupe maisha marefu na yenye neema tele, na akujaalie uwe na Hekima na busara zitakazokusaidia kuishi maisha mepesi na yasiyo na inda.
 
happy birthday mpendwa!

Mungu akupe maisha marefu zaidi!
 
Happy Birthday Sabry
​
 

Attachments

  • Happy-Birthday-Wishes-4.jpg
    22.9 KB · Views: 51

Thanx Afrodenz! Wish cud have time to hang mijuu guu! Niko nafanya UE napumulia makaratasi tu sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…