Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,311
- 12,202
Hili ni jina ninalopenda kumuita mamdogo wenu na mara ya kwanza hakuwa analipenda lakini badae bila kumuita hua analeta story za nani kaanza rithi jina lake!. She likes it very much as i can see through her eyes and actions whenever i used it!..
Tujiulize kwanini namuita Pandora?.
Huwa napenda soma sana greek mythology ndipo nikakutana na hilo jina ambapo huyo kwa wagiriki Pandora lina maana ya "the all-gifted" kibongo tuseme aliyezawadiwa yote!. Wanaamini Pandora ndio Mwanamke wa kwanza kuumbwa na miungu ambapo Zeus aliiaambia miungu yote itoe ile sehemu yao ambayo imebarikiwa au tuseme nguvu za kila muungu!..
My Pandora naamini kabarikiwa everything; shez beautiful, clever, charming, heart-warming and sexy!..We are long distance for now but i have arleady wished her and we talked too!..
waiteni wapenzi wenu majina out ya waloitwa na wazazi wao yanaleta some chill in the table!...
Happy valentine to all the PSG fans leo ueni!..me COYG sina cha kupoteza leo![emoji2]