Happy Valentine kwa style!

Happy Valentine kwa style!

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Posts
8,467
Reaction score
9,053
sijui yalikuwa maandalizi ya siku moja au ilikuwaje! vlntn.jpg
 
Halafu hii siku inaitwa "Saint Valentine's day". Na ipo kwenye kalenda ya Kanisa Katoliki. Nashangaa jinsi ilivyogeuzwa kuwa sikukuu ya mapenzi.
 
Khaaaaaaaaaaaaa! Hilo vazi la mwanaume! Wanisamehe bure!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom