Kulikua na shamba moja ambalo lilipanda miti mingii ya matunda"
Kwakua miti ile ilikua karibu matunda yake yakaanza kupiga story
CHUNGWA - mimi naona nafanana sn na jua
TUFAA - jamani mie naambiwa nimefanana sn na moyo
NDIZI - akakoromaa oyaaa badilisheni story!!