Happy New Year 2017 all JF members

Steven mushi mushi

JF-Expert Member
Jul 25, 2016
533
739
a0899231ea3f96d9277967beef6ea7d3.jpg
 
Wakuu tuna kila sababu ya kumshukuru mungu kwa kumaliza mwaka 2016 salama na kuuona tena mwaka mpya 2017.wapo wengi waliotamani kuuona mwaka huu lakini kwa namna moja au nyingine hawakuweza kuuona lakini sisi mungu ametujalia tumeweza kuuona mwaka huu na sio kwamba sisi tumetenda mema na wao wametenda mabaya lahasha bali ni kwa neema ya mwenyezi mungu basi yatupasa kumshukuru kwa baraka zake anazotujalia maishani mwetu. HAPPY NEW YEAR 2017 ALL JF MEMBERS
 
Tanga sehem gani mkuu mbona barabara za namba kuko shwari? hata hivyo sio kesi kwani labda wameamua kusherehekea kwa mtindo huo,hongeren tanga kwa ubunifu wa kuukaribisha mwaka mpya 2017.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom