Happy new year 2014

Lai Otieno

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
311
Reaction score
90
Nawatakieni mwaka mpya 2014 wenye amani na upendo kwa ndugu zangu wote.

Happy new 2014 wana JF.
 
Last edited by a moderator:

Asante kunikumbuka, my brother, nilikuwa safari muda mrefu sana, lakini nimerudi sasa. Happy new year kwako pia! Mungu akupe mwaka wenye mafanikio ya kila namna kuanzia nyumbani, ofisini, kwenye biashara na hata kwenye "deal" zote halali!

Pamoja sana!
 
HorsePower asante sana mkuu. Nashukuru sana kwa baraka zako na pia mwaka ukawe wa baraka na neema na kila ufanyalo likafanikiwe.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha.. Mr Rocky Kweli hii ni heshima pipa na sio debe!!

Happy new year my binamu..miss you

 
Last edited by a moderator:

binamu mekumisije?
happy new year,zifikishe
na kwa my wii Dena Amsi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…