Happy Left-handers day!

Happy Left-handers day!

Ni Mimi pekee mwenye mwandiko mzuri kuliko staff wote kazini na pia ni Mimi nikikupa kitu chochote kwa mkono wa kushoto nikiwa nimeridhia hautabaki Kama ulivyo .
Wadada na wakala karibu PM muone maajabu ya mkono huu
 
On behalf of Someone I Love...
Happy Left-handers Day...

Watu mnaotumia Mkono wa kushoto mpunguze misimamo jamani😅
 
Aisee, najivunia kutumia mkono wa kushoto kwenye mambo mengi. Mkono wa kulia upo tu kusaidia vitu baadhi ila vingi nashindwa kufanya nao
 
Saa 9 HII Wewe kunja Goti umuombe MUNGU Muda huu wanasema mbingu zinakua zimefunguka ukiomba chochote Muda huu unatapa,

Ps: Muda huu ndio Muda ambao hata Wezi wakiiba huku wanamuomba Mungu hawakamatwi Muda huu walinzi wamelala wamechoka kukaa Macho
 
Una kilema cha kutokujua watu Muhimu. Kama ambavyo hukujua umuhimu wa JPM
JPM angekuwa muhimu asingekufa akiwa madarakani. Acha hiyo takataka iendelee kuungua na moto wa jehanam
 
JPM angekuwa muhimu asingekufa akiwa madarakani. Acha hiyo takataka iendelee kuungua na moto wa jehanam
Takataka ni yule ambaye hana shukrani kama wewe. JPM ni hero wa Tanzania mpaka sasa hakuna mfanowe
 
"Kwa wale wanao tumia mkono wa kushoto kuwa Leo ni siku yetu"

Mmh! Hiki kiswahili hiki. Lol.
 
I'm one of them. Ni watu wasiotabirika
Mimi pia,
Kipindi nacheza mpira wa miguu, Uli itaji macho na sekunde kadhaa kugundua kipaji Cha ajabu na cha kipekee alicho weka mwenyezi Mungu kwenye mguu wangu wa kushoto.

Kazi rahisi na ya kipekee na ambayo ingenipa Maisha kirahisi zaidi ilikua Ni mguu wangu wa kushoto (football) all in all Kama una mtoto au kijana ana TALENTS mpe support
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom