happy hour

coyyal

Member
Mar 7, 2012
14
3
Leo ni birthday ya mmiliki wa Calabash, hivyo saa 12 watu 50 wa mwanzo kinywaji cha kwanza bure
 
dogo...njoo nikupeleke...
lol...usisikie bure...ohooo...karibu huku ndio TANZANIA bana kila siku ni weekend...
Kwanza nina wasiwasi hata wewe hupajui....ngoja nanii atanileta we sikuamini hata kidogo
 
Jamani si kuna kipindi thread ilianzishwa humu kuwa mmiliki wa calabash amefariki? Sasa ni huyo huyo anafanyiwa birthday au alierithishwa umiliki?
 
Jamani si kuna kipindi thread ilianzishwa humu kuwa mmiliki wa calabash amefariki? Sasa ni huyo huyo anafanyiwa birthday au alierithishwa umiliki?
Ni kweli kabisa...mmiliki wa Calabash ni marehemu!
Anayeisimamia sasa ni papaa mmoja halafu yupo hapa JF, bdei yake leo!!
Gues who!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom