Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,208
- 7,660
- Thread starter
- #21
For real...najiwaziaga sana! am trying my best to be good in front of everyone around,kwa mama hata sikatai maana hamna hata akiwaga ananichapa alikua ananichapa huku analia yani nalia na yeye analia.Aiseee watoto wengine unaweza dhani wamerogwa dah, shule 9? Aisee umewatesa wazazi, sasa nakwambia mamako alikuwa analala analia kipindi chote. Be good bana
Mungu aniongoze niweze yalipa haya madeni angali wazazi wangu wapo hai TU.