Happy Christmas.......New year 2014!

kisugujira

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
773
195
WanaMMU,

Nawatakieni nyote sikukuu njema ya Krisimasi na mafanikio mema kwa mwaka mpya ujao wa 2014. Mwaka ujao uwe wa neema kwa wale wenye mapenzi ya kweli kwa wenzi wao. Mipango ya wale waliopanga mwakani kuwa wanandoa japo sasa hivi wanafanya kweli bila baraka za wazazi na viongozi wa dini ikafanikiwe ili chama cha mpaka kifo kitutenganishe kiendelee kudumu!

Wazinzi wake kwa waume ondokeni kwenye nyumba za wageni (Guest Houses), rudini majumbani kwenu mkasherehekee na familia zenu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom