Happy birthday darling Excel may you get a large share of life's good things on your way
I Love u so much my king
Happy birthday kaka!
mi na mke wangu mpenzi.. shansarie, tunakutakia kila la kheri.
Nimefurahi sana kuona wewe na mwekundu mmezaliwa siku moja..
what a good thing zaidi, ni promotion anayokupa mkeo wa zamani miss neddy,
Kwa heshima na taathima nimwite charty
kwa kampani ya karibu...
Nimwite kan'tangaze kwa nyimbo za sifa.
Nimwite tumboo kwa mapambo..
hii kitu inahitaji air ya kutosha..
Happy Birthday mtoto Excel ,twin unapiga mzigo ipasavyo?nataka next year miss neddy awe na kibendi lol
Mungu akujalie maisha marefu......!!
Weeeraaahhh!!!!!
Msimu wa bday huu
happy birthday Excel
Dah Mimi tu ndo sina mume humu
Sijui niweke tangazoo??? Daaaah
wow! nilikumiss sana mamii kan..!
ulikuwa wapi siku zote hizo?
Thanks for the best wishes..
Merci.
Umepotea sana mkuu. nini shida?
thank you mkuu