Happy born day my luvito @Bulldog


Mshana asante sana best. Mungu akubariki sana
 
mwekundu

Chujio


Bulldog..

This is all our day buddies!


Nimetimiza miaka 23 leo..



Mwenyezi MUNGU awe nasi sote katika kila mipango tuipangayo...

Happy birtday guys....yangu ilikuwa janaaaa.....

mwekundu pacha wangu wa nje....Nakutakia maisha mareeeeeeeeefuuuuuu kama treniiiiiiiiiii.....
 
Last edited by a moderator:
Kim nana Naye Happy Birthday..... Umezaliwa leo ,God aku bless uzae watoto wengi uishi miaka mingi zaidi ya Queen Elizabeth

Thanx....nimepokea hizo blessin ila hapo kwenye watoto wengi hapoooooo.....labda wengine niwalete kwa anko waoo....

#team septemberrr oyeeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
Happy birtday guys....yangu ilikuwa janaaaa.....

mwekundu pacha wangu wa nje....Nakutakia maisha mareeeeeeeeefuuuuuu kama treniiiiiiiiiii.....

asante sana madam! I hope nae umeongeza kitu katika maisha mbali ya umri.

Ishi kwa amani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…