haha! mi ninacho chombo huria kinapenda tabia zangu sina haja ya kujirekebisha, nyie huyo mdogo waketafutieni jambazi mwengine huko wanyooshane..πShemeji yako ana mdogo wake.. Jirekebishe kwanza unaweza kufikiriwaπ
Wee utakhwa kapuku kama mie tuu.Hivi kwanza hua wanajuana aje humu mkuu...π€
Happiest Birthday Mackie wangu..!β€οΈMy Birthday mate....
Happy Birthday to US Babe...
haya maandazi ya humu huwa hayaelewi, laiti wangejua potential people walioko humu, wangeishi na watu vyema..!!πSema hauja bahatika tu.
Humu kuna watu wa maana sana trust me...
Thank you Babe...Happiest Birthday Mackie wangu..!β€οΈ
Looh πYangu ni leo Bae...
Juu huko panda utaoni tumejiwish...
Halafu kaka mkubwa nimekumbuka jambo hivi kumbe avatar yako ni ya temineta?π ngoja shindikanaa Aje atolee ufafanuzi hiliπ
Leo nina excuse ya kutokuongea sanaπ
Mambo yanabadilika twinThank you twin....
Na nakumbuka kwenye Uzi wa selfika tulikuwa tunajiwish...
Ni nini siku hizi tumesahau twin?
Au Penzi limekolea sanaπ
π€£π€£π€£bhaaaaaanaLooh π
Hukuniambia Bae ningekuanzushia uzi wa kukuwish kwa kilugha cha Kisukuma kabisa π€£π€£π€£
Kiburu kina kakiburi fulani ukishashiba wa kwetuππLeo nina excuse ya kutokuongea sanaπ
Hutaki kabisa kuongea shem? Nini kimekukuta?πLeo nina excuse ya kutokuongea sanaπ
π π πMambo yanabadilika twin
Global warming π π π
Leo mimi ni Birthday gelo..Hutaki kabisa kuongea shem? Nini kimekukuta?π
Hilo nalo neno, sasa tutafute location watu wakate keki na kupiga cheers basiπLeo mimi ni Birthday gelo..
Hebu organise basi Shem Bae...Hilo nalo neno, sasa tutafute location watu wakate keki na kupiga cheers basiπ
Huo usaliti umeuanza lini.Awwww
Thank you so much my love ππππ
I love you more than the words can explain