Happy bithday kabakabana

Kabakabana, may you stay strong to take an Excellent care of Excellent,
 
Nimepita kuangalia kama kuna chochote kilichosalia kwaajili ya wachelewaji...

Happy birthday kabakabana. Mungu akupe maisha marefu yenye furaha.
 
Nimepita kuangalia kama kuna chochote kilichosalia kwaajili ya wachelewaji...

Happy birthday kabakabana. Mungu akupe maisha marefu yenye furaha.

umebahatika na chochote kuna pipi hapa lol ahsante mpenzi
 
umebahatika na chochote kuna pipi hapa lol ahsante mpenzi
Lol... Asante mpendwa, hizo pipi nifungie hapo kwenye hilo gazeti, tazichukua mda wa kuondoka ukifika.

mie ngoja nimalizie kukusanya hizi chupa, si unaona wazamiaji wameanza kuzamia? Wataiba afu kesho tupate hasara ya kulipa chupa.....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…