THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 Dec 5, 2011 #21 Mphamvu said: ungezaliwa BUTIAMA ungekuwa Nyerere. Una akili sana mkuu! Click to expand... angezaliwa Mbeya angekuwa Sugu.
Mphamvu said: ungezaliwa BUTIAMA ungekuwa Nyerere. Una akili sana mkuu! Click to expand... angezaliwa Mbeya angekuwa Sugu.
libent JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 382 Reaction score 84 Dec 6, 2011 #22 iphoneman said: Hapo simpo sana, unasema we c mtoto na kumbuka mtoto alitoka uchi kutoka 2mboni kwa mama, kwahyo unawaambia nao SUPRISEEE.... Click to expand... Tena unatamka kwa kutabasamu bila kutetemeka ili kuua soo
iphoneman said: Hapo simpo sana, unasema we c mtoto na kumbuka mtoto alitoka uchi kutoka 2mboni kwa mama, kwahyo unawaambia nao SUPRISEEE.... Click to expand... Tena unatamka kwa kutabasamu bila kutetemeka ili kuua soo
brightrich Senior Member Joined Nov 19, 2010 Posts 136 Reaction score 27 Dec 6, 2011 #23 iphoneman said: Hapo simpo sana, unasema we c mtoto na kumbuka mtoto alitoka uchi kutoka 2mboni kwa mama, kwahyo unawaambia nao SUPRISEEE.... Click to expand... Daah nimecheka sana, ila hapo ndoa huna na watoto ndo kabisaaaaaa!
iphoneman said: Hapo simpo sana, unasema we c mtoto na kumbuka mtoto alitoka uchi kutoka 2mboni kwa mama, kwahyo unawaambia nao SUPRISEEE.... Click to expand... Daah nimecheka sana, ila hapo ndoa huna na watoto ndo kabisaaaaaa!
Enginier JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 276 Reaction score 36 Dec 6, 2011 #24 Mambo ya kufikiri mbali hayo