Usiongee na sisi
Yaani atakuja tuu akiwa na shidaahahahhah sasa hivi anajionea hapa anaambiwa mtto wa nan sijui
Hamna tu bae tunastukaThen mkishaotana!!??
na asicheze n sisiUsiongee na sisi
Si alikubali kuwa mchepuko, badohhahhhahahh tulia mama
warereeeeeeeeThen mkishaotana!!??
pacha yanachekesha ujueUsicheke nae pacha
Niache na uchoyo wakoAiiii weeeweee
Unalo hilooo, heheeeeThen mkishaotana!!??
nakumbuka alikubali kila kituSi alikubali kuwa mchepuko, bado
Huwezi kutunyima Keki wewe, hivi unakumbuka asubuhi kweli. Shemeji najua ushemeji wetu utavunjwa na talaka tu na sio keki.
Akae mbali na double Sna asicheze n sisi
Hivi shemeji nikweli unataka kushiriki kunivurugia ndoa!Unalo hilooo, heheeee
Tehteh nampenda bhn husna siwezi mfanyia haya.nakumbuka alikubali kila kitu
Ataisoma nambawarereeeeeeeewanamalizana kila kitu ndotoni
Nakumbuka saana shemeji uliniamsha saa 9Huwezi kutunyima Keki wewe, hivi unakumbuka asubuhi kweli
Tehteh hayo yanakataga mawasiliano ya sphincter muscles na urine bladder
Sina hata hamu ya kucheka naopacha yanachekesha ujue