Happy birthday

George Tesha1

Senior Member
Dec 29, 2011
116
63
wanajukwaa kwanza kabisa heshima yenu,
Namshukuru mungu kwa kunipa afya njema na kufikia mwaka mwingine wa maisha
pia nawashukuru wanajamii wenzangu kwa michango yenu ya akili na ujuzi tunaopeana kila siku
mungu aendelee kulibariki jukwaa hili cz huwa linanifanya nakuwa na furaha hata kama nilikuwa na huzuni, asantenteni sana

happy birthday to me
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom