Happy birthday Young Master

Young master all the best unapopangua miaka, uzee huooo! Kila la kheri mkuu
 
hapi basidei to yuuu hapi basidei tuu yuuu hapibasidei dia mtoto mdogo mkuu hapi basidei tu yuu..... sori mayi ingilishi iszi not gud olsooo
 
YM !
Kula sana mbogamboga, punguza vyakula vya wanga, kwepa vyakula vya mafuta!
Soda kunywa za free sugar (achana na misoda hii ya kawaida) percentages za kukutana mwaka ujao zitaongezeka.

Asante sana kaka kwa ushauri wako.
 
Mkuu Young Master heri ya siku yako hii njema na Mwenyezi Mungu akutangulie katika maisha yako yote akupe heri zake na baraka
Happy Birthday Mkuu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…