Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Aisee,
Naomba nisaidiesaidie bana...maana ni kweli nilimvalisha lakini bado simuelewielewi, mara anataka, mara hataki!...Inaonyesha bado ana mahusiano ya siri Erickb52!...naomba Preta asisome hapa, maana akijua ukweli huu huenda Jumamosi ya ndoa akamkataa huyu jamaa!
Walahi hapa nareport abuse lol.....wifi shughuli gani?
Happy Birthday Younger Master.Were you born-ed yesterday??Ukue kama mnazi na uwe mpana kama mizizi ya mlima kilimanjaro.Happy Birthday!
Kwani ulikuwa wapi wakati PakaJimmy anamvalisha Remmy pete ya uchumba?......afu huyo Erickb52 si nasikia kaopolewa na Preta???.....vigelegele utanipigia mimi manake nakaribia kubariki ndoa yangu na Vin Diesel
mmmmmhh wi nakuaminia kwa umbeya.... Vin Diesel yamemshinda kutwa nzima upo kwenye shughuli
loooo wifi uroho umekuzidi ulibugia sana......anasubiri abadilishwe pampasi na mwaJ
Ha ha ha haaaaaaaaaa! We Blaki Womani wewee! Nani alikuambia mie ni hausigelo wa akina Young Master? Anyway kwa vile Young Master bado mtoto mchanga siku mbili hizi sitajali kumsaidia bi mkubwa wake kuifanya hiyo kazi. Acha aendelee kudeka kidogo.
Hazitaisha japo si kigezo cha yeye kuwa na mie...humjui sweetlady naona...
hahahahaha looooo siku ukimjua utaniambia acheki na nyani.....lakini usisahau kunipa kadi ya mwaliko
mwaliko tu utapata....japo nina shaka kama utaweza jilipia safari ya hawaii....
Happy b'day young master! Uishi miaka ming, ubaki wa mbegu! Lol