ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,001
hhahhah ngoja ninyamaze maanaNimekurudisha nyuma hadi wapi kwa mfano?😀
hhahhah ngoja ninyamaze maanaNimekurudisha nyuma hadi wapi kwa mfano?😀
12miaka mingapi
HahahahaHahaha shem si ujibu tu...![]()
![]()
![]()
wacha kabisa yaani taritiibu tena bila papara unaambiwaNdugu zetu mkala ubuyu kimya kimya eeeh
Mwenye kiti atakuwa amepata dharura unaweza kusimamia kwa niaba yakeyaani wew sio lazima ni muhimu sana ila mwenyekiti simuoni hapa
cc mwifwa
uwiiii haya fanya kujiandaa basi dakika tano nipo hapo
Na ndio maana nikasema keki ubebe weweNa ulivyopendeza leo wasiwasi wangu bibi ungempa pressure
hili pia linawezekana unaombwa usikosekaneMwenye kiti atakuwa amepata dharura unaweza kusimamia kwa niaba yake
nami nilipita nikapitisha gumba za kutosha ila sikuambua kitu
cc mzigua 90 shunie
Dadake uko kitengo gani katika hii sherehe ?Najiandaa dada
mtoto wapenda mwendo wewe haya jiandae mdogo wanguNajiandaa dada

Hahahahahahaha
Kumbe mjanja eeh! SalutiiiNa ndio maana nikasema keki ubebe wewe
Dadake uko kitengo gani katika hii sherehe ?
Sawa jirani nipo naangali Sufi inayo fanana na ukumbi maana ndugu yanguhili pia linawezekana unaombwa usikosekane
Ungesoma post moja moja ungeelewa ndugu yangu tulikuwa tunatokomeza pugi mwanaume humu jf anatabia za umama katupita mpaka sisi wanawake




itabidi nikaurudie wallah au ngoja nimpe hajar aperuzi mojamoja