Happy Birthday WiseLady!

Kimey

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
4,117
831
Napenda kuchukua nafasi hii kukutakia heri ya kuzaliwa.Mungu akupe maisha marefu ya furaha na yenye baraka tele,
Furahia siku yako ya leo kwa upendo na amani! Tupo na wewe pamoja! Mungu akuzidishie busara zaidi!
 
Happy birthday mamii.
Hivi mnajuaje birthday za watu hadi mnatuma thread?
Na yangu sijui mtaijua. Nakapenda haka kautaratibu. Kanaleta faraja.
 
HAPPY BIRTHDAY
Mama Wa Busara
Mwenyenzi Mumgu
azidi kukuongezea
Maisha marefu
yenye amani, busara,
Hekima , upendo na matumaini
Amen..
 
HAPPY BIRTHDAY
Mama Wa Busara
Mwenyenzi Mumgu
azidi kukuongezea
Maisha marefu
yenye amani, busara,
Hekima , upendo na matumaini
Amen..
Amen! Mzima Afro? Haya andaa tumbo baadae tukaserebuke na birthday girl.
 
Happy birthday mamii.
Hivi mnajuaje birthday za watu hadi mnatuma thread?
Na yangu sijui mtaijua. Nakapenda haka kautaratibu. Kanaleta faraja.
We tuambie tu tarehe tutairusha siku ikifika!
 
Happy birthday WiseLady mama wa busara.... ubarikiwe mpaka ushangae!!!

HAPPY BIRTHDAY
Mama Wa Busara
Mwenyenzi Mumgu
azidi kukuongezea
Maisha marefu
yenye amani, busara,
Hekima , upendo na matumaini
Amen..

Afrodenzi kadri muda unavoenda kikombe chako cha busara kinazidi kujaa:angel:
 
Amen! Mzima Afro? Haya andaa tumbo baadae tukaserebuke na birthday girl.

Mi mzima kabisa
hope na we unaendelea
vizuri

Nway
LOCATION,LOCATION,LOCATION
Bday party ipo wapi?
Counter ya juu?
au big bash nyumbani...
maana hili tumbo liko tayari mpaka kesho
mmhh lol
 
Mi mzima kabisa
hope na we unaendelea
vizuri

Nway
LOCATION,LOCATION,LOCATION
Bday party ipo wapi?
Counter ya juu?
au big bash nyumbani...
maana hili tumbo liko tayari mpaka kesho
mmhh lol
Hahaha ka babe girl tukikapeleka counter ya Juu katazoe! Leo tupige big bash nyumbani.
 
Happy birthday WiseLady mama wa busara.... ubarikiwe mpaka ushangae!!!

Afrodenzi kadri muda unavoenda kikombe chako cha busara kinazidi kujaa:angel:

Dahh BL
Sante sana
hizo busara niligawiwa
Na huyu bibi mzuri
ambaye kazaliwa leo..
Akapewa jina pekee WISELady..
Mmhhh lol
 
Hahaha ka babe girl tukikapeleka counter ya Juu katazoe! Leo tupige big bash nyumbani.

Daahh
Kama ni nyumbani
ngoja nianze maandalizi
Je keki mishumaa mingapi?Hivi ni 21?
Daahhh nimesahau
hahahah lol
 
Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa Wiselady.

Pole kwa kuzidi kulisogelea kaburi.

Naomba maombi yako na ukaguzi wako kwenye kiuno cha babu, manake watoto hutokea kiunoni!

Salamu Kutoka kwa babu Aspirin akiwa safarini Loliondo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom