Happy Birthday To you

Ameeeen😊
 
nimeipenda hii ,..
 
Happy birthday to my fellow Gemin's.... Mungu awape maisha marefu yenye upendo, baraka na furaha tele.....
 
Happy birthday to them . Maisha marefu kwao.

Ngoja nikague nani alinitolea povu baada ya kujibizana na leejay nimgundue Baba LeeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Happy birthday kwao Mungu awabariki Maisha marefu yenye amani,hekima na busara.
Leejay49 umetupa mtihani mkubwa kutuambia mzee yupo humu sasa tunatakiwa tuwe wastaarabu Just in case 😁😁😁
 
Happy Birthday [emoji512][emoji320] kwako.
 
Happy birthday to them . Maisha marefu kwao.

Ngoja nikague nani alinitolea povu baada ya kujibizana na leejay nimgundue Baba LeeπŸ˜‚πŸ˜‚
haha DahπŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚

Thanks
 
Happy birthday kwao Mungu awabariki Maisha marefu yenye amani,hekima na busara.
Leejay49 umetupa mtihani mkubwa kutuambia mzee yupo humu sasa tunatakiwa tuwe wastaarabu Just in case 😁😁😁
haha mwenyewe siku za kwanza ilinipa mtihaniπŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜…

Nilifuta nyuzi zangu zote za zamani na kuandika signed out forever,. Nimekuwa mpole sana sikuizi hata kuchat na watu pm naogopa
 
Unataka kumnyima mzee kuchangia mada zingine kwa uhuru au aache kabisa, sababu ataanza kujishtukia
 
Unataka kumnyima mzee kuchangia mada zingine kwa uhuru au aache kabisa, sababu ataanza kujishtukia
Hapana mkuu,. ni mkongwe sana nguvu za kuandika unahisi anazo basiπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜…
Ye anasomaga tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…