tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 20,876
- 27,211
Ndiyo, Leo tar 22/01/2017 natimiza miaka kadhaa ya uwepo wangu huku Duniani.Nawashukuru wazazi wangu kwa usimamizi wa mwenyezi Mungu aliwaongoza kwa kunilea na kunifikisha hapa nilipo.Asante sana baba na mama.
Pia nawashukuru ndugu na jamaa zangu wote bila kuisahau jf kwa kuwa na mchango chanya ktkt kunipa mafundisho na fikra chanya kimaisha,nasema asanteni nyote humu ndani.
Binafsi bado naona nina safari ndefu kwani ndo kwanza nipo katikati ya safari ingawa matakwa ya Mungu ndo huwa kila kitu.Changamoto nilizonazo ni;
1.Kuongeza juhudi ktk utafutaji niyamudu vizuri maisha.
2.Nipate Mke,maana sijaoa bado.
3.Niyatende yaliyo mema kama Mungu apendavyo.
4.n.k
You take away all the other luxuries in life, and if you can make someone smile and laugh, you have given the most special gift: happiness.
Mungu nisaidie,bariki jf members wote pia.