Tukiamua kuja wana jf wote hapo kwako, itakuaje!?Ahaaa , chanteeee



Hamna mechi ya watu wawili leo?!Naenda wapi? Niko hapa home nawasubiri mkuje na keki msosi tiyari hapa naonja onja.
Mbona mimi siwezi kuweka video etiHappy birthday Luckyline
Enjoy the song...cheza ss
Ukiingia youtube copy ile Link baada ya kuchagua a song alafu uje uPaste hapa.Mbona mimi siwezi kuweka video eti
Anhaa sawa, barikiwaUkiingia youtube copy ile Link baada ya kuchagua a song alafu uje uPaste hapa.
AmenAnhaa sawa, barikiwa
AmenHappy birthday babe Yesu akutunze
Happy birthday Luckyline
Enjoy the song...cheza ss![]()
![]()
Happy birthday Luckyline
Enjoy the song...cheza ss
Hata mm nashindwa jamani au lazima unitumie PC? .naomba uniwekee hapa hiyo "Jangu - obsession" - Uganda music" its a group song, very nice.Ukiingia youtube copy ile Link baada ya kuchagua a song alafu uje uPaste hapa.