Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,162
- 11,229
- Thread starter
- #61
nimeshatangulia umechelewa aiseee
miss chagga wakati natafta mchumba alinata nkamwambia utaikumbuka katerero.Mtoto wa kichaga umeshazimikia katerero.
Hahahah sema li-mzuzu.atakudanganya hapa wewe mimi nipo nae sa hivi nachezea vindevu vyake loh......
Umenirusha nasubiri pm yako sioni.Aseeeeee....kudadadeki chachuuu mi salamu zangu nazituma kwa pm....
Thanks miss,yahp ni mimi..umenifananisha?happy happy birthday to you ......aiseeee hiyo picha ni wewe?
Inawezekana tukawa age sawa kama nawe upo kati umri huo.happy birthday! kwa hiyo age range na birth date inawezekana tulizaliwa almost same day!!!
BE BLESSED AND HAPPY BIRTHDAY.
Thanks,picha haina shida lol..Happy birthday! naona umetupiemo kapicha!
Mimi ntawapa haki sawa msijali,mmoja jioni mpaka saa nne mwingine tunakesha.Happy birthday Chachu Ombara
tunaomba utoe tamko....
Thanks Nicas Mtei,hilo jina mmmhh!!Happy Birthday Chrispin Muganyizi
Asante sana kaka.Hongere mkuu sir god akulinde
Ukichelewa utawahiwa.Baadae nami ntachezea hiyo suspender yake...
Hiyo diet yako mbona ubonge pale pale?baba sitaki nafanya diet
Asante sana,ukubwa dawa.Hongera kwa kuzidi kukua
Thank you my ninja.H b d ninja grow old..
Thanks buddy,be blessed.happy birthday mkuu
Thanks mkuu,nawapenda sana JF.Kwa niaba ya JF hasa MMU tunakutakia heri ya kuzaliwa mkuu...Mungu akupe heri na baraka zaidi.
Asante sana kaka.Happy birthday
Thanks buddy.Hongera mkuu kwa kutimiza miaka kadhaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante sana,Mungu ni mwema.Happy birthday,Mungu akupe maisha marefu.
Thanks alot H.O.Ehappy birthday
Thanks dude.Happy birthday dude
Thanks Mamii,umenena vyema.Happy birthday to you, May you have all the joy your heart can hold
Thanks dude.Mashallah,
Happy birthday Handsome!
Play safe!
miss chagga wakati natafta mchumba alinata nkamwambia utaikumbuka katerero.
Hiyo diet yako mbona ubonge pale pale?
Hahahaha vya off side havitambuliki hapa
Hahahah sema li-mzuzu.
Leo mmenichekesha hadi basi, tunamuomba Mr Chachu atoe msimamo wake tafadhali.
HAPPY BIRTHDAY CHACHU.
Happy birthday mkuu. Mungu akupe maisha marefu yenye furaha Rafiki yangu Muganyizi. mia