Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,913
- 1,036
Happy birthday mkuu,
Live long life!
Thank U God Almighty. Wadau leo ni siku yangu muhimu sana maishani. Its my Birthday. Lets celebrate. Pia ni siku maalum kuwajulisha members wa jukwaa hili kwamba namvalisha pete ya uchumba kichuna wangu fk tuliyeunganishwa na tarehe moja ya kuzaliwa. Karibuni sana tusherehekee pamoja. Happy Birthday kichunafk wangu. I lv u!😉:thumbup:
Shukran Ladymasa 🙂
Pouwa sana
Happy birthday....zawadi inakuja
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Happy birthday
Happy birthday mapochopocho wapi?
Happy bday mkuu
ila
hiyo avatar yako
imenifanya nikimbie mbioooooooooo
Happy birthday mkuu
Thank u. Mapochopocho yote om mkuu,karibu sana.