Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
- Thread starter
-
- #21
...tatizo Mentor unamtamani shemeji yako...nahofia utamjaribu bureeeKaka Kipaji Halisi, tatizo kila tukija kusherehekea hepi besidei hakuna wa kupika na kupamba pamba nyumba. It's time u got someone to share ur life with bana tukija tusherehekee vyema..get me??!
Happy birthday bro...lotsa blessings...:bounce:
thanx wngHappy Birthday Kipaji Halisi
Kipaji Halisi...naelekea uzeeni sasa..nakula chumvi tu
Kipaji Halisi...naelekea uzeeni sasa..nakula chumvi tu
Happy birthday!
hivi mimisa as a family tumemuandalia zawadi gani Kipaji Halisi
Si unajua tupo bize sana siye wakubwa zako...
Happy birthday kijana....uwe na siku njema