He! Kwanini hukusema mapema shemeji??
Lawama sitaki na nilichonacho ndicho ntakachokupa nawe pokea kwa shukrani. Si unajua mambo ya mapilao yashapitwa na wakti? na lanchi ushakula? Basi ngoja nijumlishie hapahapa nakupa lanchi na drink.
Happy Birhtday Kijino!!!!!!!!!!!!!!!!
Happy Birthday Kijino,enjoy yourself on ur bday n all other days of the year!
Toobah! Hizo drinks una mpango gani na besdei gelo? Ngastukaaa
Daymm, them eyes jamani??
Kwa nini nazeeka, aggrrrrrrr
Happy Birthday Kituth
Hepi besidei ya kuzaliwa!
Happy bday ,May u live to be 100
Yaaaalllah!
wewe baba una mpango gani wa siri jamani. Yaani unataka utuleweshe hivi ili? Ushindwe na ulegee kuanzia.unyayo hadi unywele, sie tuna mkakati wa kufungua kanisa manake tumeshtukia ndo biashara inayolipa. Tumeacha vinywaji vya kidunia, rudi nyuma yangu shetani.
He! Kwanini hukusema mapema shemeji??
Lawama sitaki na nilichonacho ndicho ntakachokupa nawe pokea kwa shukrani. Si unajua mambo ya mapilao yashapitwa na wakti? na lanchi ushakula? Basi ngoja nijumlishie hapahapa nakupa lanchi na drink.
Happy Birhtday Kijino!!!!!!!!!!!!!!!!
Utapigwa ww...Daymm, them eyes jamani??
Kwa nini nazeeka, aggrrrrrrr
Happy Birthday Kituth
thanx Arabela, leo ni keki ya dona tu