Alooooooooo.ulinikera sana siku ile wodini…Katika watoto wote tuliozaliwa Siku ile wewe pekee ulikuwa unalia sana sijui ulikuwa na matatizo gani…Mimi nilikuwa nanyonya sikuwa na kelele…
Alooooooooooo.Watoto wa kiume birthday pia unaweka jamiiforum! But anyway grow well with bless and grace kid[emoji257]
Eh siamezaliwa asisemeWatoto wa kiume birthday pia unaweka jamiiforum! But anyway grow well with bless and grace kid[emoji257]