Happy birthday to me 🎂🎉

Happy birthday to me 🎂🎉

Kila la kheri,mtoto mzuri
Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you 😍😘)..
Thank you friend Wagumu Tunadumu 😊🤗
 
Hello everyone 😊☺

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi 😊🤗

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you 😍😘)..

Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humu😄😄...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.

Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME 🎉🥳🥳😄🎂🎈 View attachment 2699335
Happy birthday toto bad! 🤣 How old are you now ili nikupe zawadi inayoendana na umri wako 😀
 
Bila shaka keki hii ya leo mtakuwa mmenikonsida Babu yenu nisiye na Meno ya kutafuna🤪

"Forget the past; look forward to the future, for the best things are yet to come"💪

Heri ya kuzaliwa Mjukuu 🥂
Asante babu 🙏🏼,, barikiwa sana 😊🤗....keki na nini nikuwekee au ndo vingine huwezi kutafuna😄😄
 
Asante babu 🙏🏼,, barikiwa sana 😊🤗....keki na nini nikuwekee au ndo vingine huwezi kutafuna😄😄

Kuna vingine siwezi kutafuna zaidi ya kuvilamba tu, maana meno yote Babu yenu nilipoteza .........🤪

Ingekuwa keki bado haijatoka kiwandani mngeniwekea na Kiko yangu pembeni, yaani mnanilisha keki huku navuta na Kiko yangu 🤗
 
Sawa babu,,, umeeleweka 😊🤗
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom