Happy birthday to u
Hahaha huijui jeifu wewe...mara hii ushasahau ya kinondoni sweetheart?Kidogo mfanane yani,, ni ke huyu fanya mambo basi
Happy birthday chakorii
Hahaha huijui jeifu wewe...mara hii ushasahau ya kinondoni sweetheart?
Namfananisha na mambembeHebu ngoja kwanza tumsubiri mwenye birthday yake
Namfananisha na mambembe
Yaaa avatarMambembe mchangamfu na hana nyodo, labda km unasemea avatar
Ni siku nyingine tena na mwaka mwingine tena ninazidi kumshukuru Mungu kwa baraka na utajiri wa afya njema na uhai
Sifa na utukufu ninakurudishia ee Mungu mkuu.
Happy![]()
๐ฅ
to me.
![]()
U killed it baba..thank u very much for caring darling...u are such a......you know what i mean right..i cant explain wallah.ninakushukaru I mean it ๐๐๐๐โค๏ธโค๏ธHappy birthday my lovely babe Chakorii. May Almighty God grants you all your wishes. Nakupenda wife material Chakorii.