sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Fanya maarifa.... Na hii baridi ya huu mji haha niwahi kurudi kweli?
Fanya maarifa.... Na hii baridi ya huu mji haha niwahi kurudi kweli?
Ha ha ha umenishinda tabiaFanya maarifa.... Na hii baridi ya huu mji haha niwahi kurudi kweli?
Weka contacts... birthday bbySawa nipe sasa
keep calm, its my birthday
Yes he is,
But he don't deserve,
Sijawahi kumjua
keep calm, its my birthday
Hbd to you! ...lkn naona unamshukuru mom pekee yake na umemsahau Dady kama na yeye pia alihusika kukuleta duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
PoleYes he is,
But he don't deserve,
Sijawahi kumjua
keep calm, its my birthday
Kumbe ulifungiwaMy baby doll, my pilipili my mchaichai iam back my dolly
Nimepigwa vita sana lakini penzi langu ndio linazidi kuwaka zaidi.
Wamenifungia nyuzi zangu, wamenipa BAN lakini nimerudi my Dolly.
Happy birthday my love, niko nakusubir apa my love..im sorry for not being here ktk siku hii maalum kwako lakini sijachelewa.
Come with me my Dolly tuliwashe penzi letu kama moto![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()





