Happy born day twinHongera pia nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa Leo...Mungu azidi kutubariki na kutufanya waaminifu katika njia zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana harder kingOngera bibie..pongezi zaidi ziwafikie wazazi wako
young kilimanjaro
Leo kumbe tumezaliwa wengi
Happy birthday my twin
keep calm, its my birthday




Safi sana, Baby doll
We mtoto hivi zawadi unapewa hapa au kule pm?
Kwa nini unacheka jamani
Lile jibuu?
keep calm, its my birthday
Haya weka namba nikutumie zawadi
au nikupe umpe? Mama pNgoja kwanza cute ajibu
keep calm, its my birthday
ameshajibu huku pmFanya kuwahi nyumbani Gesi imeisha.Haya weka namba nikutumie zawadi
![]()
![]()
au nikupe umpe? Mama p