Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,109
- 1,249,103
No
U should be mother
U should be mother
Mbna ulicheka y.
Mbna ulicheka y.
Huwezi kucheka tu pasipo sababu u know!Kwani kucheka dhambi?
Ongera bibie..pongezi zaidi ziwafikie wazazi wako![]()
Tarehe ya Leo, mwezi wa Leo mwaka 199.. Ndiyo siku niliyozaliwa
.
Asante sana Mama kwa kunileta Duniani, haikuwa kazi rahisi kunibebe tumboni miezi 9 , ila ni upendo tuu uliokuwa nao kwangu japo ulikuwa haunioni.
Asante kwa kunikuza katika misingi yote ya KIDINI , KIMAADILI, na KIELIMU .
Mummy ulikuwa mwanamke WA NGUVU.
Mom ulikuwa JASIRI,
Mom ulikuwa my Hero.
Ooh nahisi kulia
REST IN PEACE MY CUTE WOMEN.
IYOU MAMA.
![]()
Napenda kumshukuru MUNGU kwa jinsi asivyo sinzia wala kulala hata dakika moja akaniacha Peke yangu.
Hivi nilivyo ni kwa neema zake tuu.
"Kama siyo mkono wa MUNGU uliokuwa pamoja nami ISRAEL na aseme sasa"
![]()
![]()
keep calm, its my birthday
Huwezi kucheka tu pasipo sababu u know!
Baby nani analeta kokoro humuNilipenda kucheka sidhani kama inakatazwa humu Jf

Baby nani analeta kokoro humu![]()
![]()
OkNilipenda kucheka sidhani kama inakatazwa humu Jf

keep calm, its my birthday
Huuuuu huuu haahaaUsitake nikutukane wewe mtu nani baby ako hapa. Nenda katongoze mtaani kwenu usizuzuliwe na avatar.
![]()
Tarehe ya Leo, mwezi wa Leo mwaka 199.. Ndiyo siku niliyozaliwa
.
Asante sana Mama kwa kunileta Duniani, haikuwa kazi rahisi kunibebe tumboni miezi 9 , ila ni upendo tuu uliokuwa nao kwangu japo ulikuwa haunioni.
Asante kwa kunikuza katika misingi yote ya KIDINI , KIMAADILI, na KIELIMU .
Mummy ulikuwa mwanamke WA NGUVU.
Mom ulikuwa JASIRI,
Mom ulikuwa my Hero.
Ooh nahisi kulia
REST IN PEACE MY CUTE WOMEN.
IYOU MAMA.
![]()
Napenda kumshukuru MUNGU kwa jinsi asivyo sinzia wala kulala hata dakika moja akaniacha Peke yangu.
Hivi nilivyo ni kwa neema zake tuu.
"Kama siyo mkono wa MUNGU uliokuwa pamoja nami ISRAEL na aseme sasa"
![]()
![]()
keep calm, its my birthday
We mtoto hivi zawadi unapewa hapa au kule pm?
Tuliza kipute wewe, kumbe dume???Usitake nikutukane wewe mtu nani baby ako hapa. Nenda katongoze mtaani kwenu usizuzuliwe na avatar.