ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,568
Habarini
Nimeamua nijithread mwenyewe ahahahahahahahaaaaaa
Wakati unasonga na miaka inakwenda, Hata katika Bible, Mhubiri anasema hivi:
" kuna wakati uliowekwa kwa kila mtu hapa duniani, hata kuna wakati wa kila jambo chini ya Mbingu"
"Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kung'oa kilichopandwa,
"Kuna wakati wa kubomoa na wakati wa kujenga"
"kuna wakati wa kuomboleza na wakati wa kurukaruka"
"kuna wakati wa kulia au wakati wa kucheka"
"kuna wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa'
Na leo hii ninakumbuka siku ya kuzaliwa kwangu namshukuru Mungu kunileta duniani na pia namshukuru Mama kwa kunizaa, kunilea na alikuwa halali kwa ajili yangu na sina cha kumpa mama yangu zaidi ya kumpa upendo wangu asante amama
Ungana nami mabestitoooooooooooooooo
jamani nataka pampers na keki hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa