Happy birthday to me ~ mamaafacebook

Happy birthday to me ~ mamaafacebook

aaah jaman ubusy huu... nilikua sijaiona hii shem darling wangu!!!! nakuja na zawadi kede kede uko, ntamuachia wifi yako Mafikizolo

Ahhhha shemeji nashukur ila had sasa wifi hajaleta zawad sasa sjui kisha sepa nazo au la
 
Last edited by a moderator:
Haya wee mwanaume izo zawadi umenipa saangapi mbona muongo sana wewe

eeenh kulikua na kajam jana mpenzi, nmeshindwa kufika... leo ntakuja hapo nkitoka kibaruani!!! na we ulisema unataka nini vile

Ahhhha shemeji nashukur ila had sasa wifi hajaleta zawad sasa sjui kisha sepa nazo au la

atakupatia tu shem wangu, ila kaniuzi jana sijui alikua wap... simu alizima alafu ndo anaamka sa hizi
 
Oooooh basi usijali dear, mie nataka unileteee wine mpenzi siunajua leo weekend na nilivyokumiss sasa!!
eeenh kulikua na kajam jana mpenzi, nmeshindwa kufika... leo ntakuja hapo nkitoka kibaruani!!! na we ulisema unataka nini vile
 
atakupatia tu shem wangu, ila kaniuzi jana sijui alikua wap... simu alizima alafu ndo anaamka sa hizi[/QUOTE]

Ahahhha imekua kesi msamehe bwana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom